Kuna nini Old Moshi high school

du old ni li skuli la ukweli total freedom, lkn msuli utapiga tu! Kuna ticha anaitwa p didy anaweza sana physics. Nakumbuka sana wkt nikisoma tulikuwa tunajaza tv rum ya muccobs mpaka wao wanakosa nafasi. Arsenal ilichukua kombe lake la mwisho wkt nasoma fm5
 
kijana pale ni hakuna kulala ni msuli kwenda mbele.... nenda kajisahau ulale utavuna chako.....ulichopanda ...kasome kijana ....msuli yatima pale ndo utakutoa lasivyo..... ukifika msalimie mzee Omy
Hahaha Dj Omy pale jikoni na mwiko wake
 
Me nimechaguliwa pale Pcb vp lakin mazingira hiyo combination hapo ? Na je nilazima kwenda prepo kila siku au?
usiende prepo halafu PCB we una wazimu nini?

Kama vipi achana na kombi hiyo lasivyo watula kichwa soon
 
majengo ya shule yamechakaa sana sana sana,,,mpaka nachoka
 
Duhhh, long time saana nilimaliza hapo form 4, '95 nikiwa mkazi wa bweni la Hanan'g
 
U ww unaweza kuwa Emmanuel Modest 2003/2005
 
Old Moshi ni mazingira mazuri ya kusoma. Kuingia prepo ni uamuzi wako mwenyewe. Shengena 4 ni bweni tulilolizindua nikiwa form 5, 2009
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…