MKUU walimu wapo nenda pale mjini ulizia AMBER utaelekezwa ni opposite na Kilimanjaro hospitalJaman waalimu wa Tuitionz moshi mjini wanapatikana kwa upande wa phys bios and chems?? Au ndo hivyo m2 akifunga skuli mpaka Dar ndo atapata waalimu wakali??
Wanamwita gari moshi manake unatangulia moshi kabla hajatokea,ila ana mikwala na madaftar yake alyosomea advanc,yule babu wa namba me ndo namkubali alikuwa anashusha namba bila kitabu na pombe zikiwa kichwanHivi huyu atakiwa ajafa...Maana jamaa kwa siku anavuta pakti tano za sigara..
Dogo huende ukasome huko sio ukaangalie mpira muccobs
huyo atakuwa madam utata bila shaka mkuu, ticha asiyeolewa mpaka kufikia umri ule.... ila alipata mchumba na sasa kaolewa na pale amehamishwa..alikuwa mwalim wangu wa domitory MAWENZI 3
Inaelekea unapenda sana PORA wewe Dogo Porabibi quatum... yule nilimwacha ndo anaharakati za kustaafu
Utata nimemkumbuka....Hahahah ameolewa na umri wote ule......? Ulikuwa unakaa Shengenah ehhhh.....huyo atakuwa madam utata bila shaka mkuu, ticha asiyeolewa mpaka kufikia umri ule.... ila alipata mchumba na sasa kaolewa na pale amehamishwa..alikuwa mwalim wangu wa domitory MAWENZI 3
me wa pili kutoka kushoto kaka nilikuwa na aka yangu ukiitaja tu bas utakuwa unanijua kakaDuhhh!!!!! Maeneo ya Hanang hapo karibu na darasa la PCM.....Mkuu hizo sura nazifahamu sana....Wewe ni yupi kati ya hao.....Nimekumbuka mbali mno..
me wa pili kutoka kushoto kaka nilikuwa na aka yangu ukiitaja tu bas utakuwa unanijua kaka
yah tulimaliza na kina Chegue Vala kakaMkuu a.k.a yako nimeisahau...Ila nakukumbuka ile kinoma...Darasa la kina Chegue Vara a.k.a tiGo
Hii si ndio zile shule zinazochukua mpaka iii.25??, ila endeleeni tu
kwan III ya 25 hajafaulu?