Kuna nini Old Moshi high school


lisa pita aka lisapicha, anatukana yule mwalimu! alikuwepo hadi mwaka 2010 na alikuwa ni mkuu wa idara ya wasiøona
 

Ulikua PCM au PCB mkuu? ...Hata mm nimetoka hapo mwaka 2009....Teh teh...
 
Hivi huyu atakiwa ajafa...Maana jamaa kwa siku anavuta pakti tano za sigara..
Aisee nyie kwanza naanza kimaro mbao, alafu Yule dereva wa lile Lori, alafu kaka yake kinunda/Niko alikuwa anaitwa ngwinya/marehemu kwa sasa, kinunda nimepiga NAE fegi sana pale kibo bloc 4 na bangaloo, bisha uone
 
Aisee nyie kwanza naanza kimaro mbao, alafu Yule dereva wa lile Lori, alafu kaka yake kinunda/Niko alikuwa anaitwa ngwinya/marehemu kwa sasa, kinunda nimepiga NAE fegi sana pale kibo bloc 4 na bangaloo, bisha uone

Nibisheje tena mkuu...Umemaliza yote...Hivi yule maza mnoko aliyekuwa jirani na Kinunda nilikuwa namchukia balaa....Alishawi nipigisha deki ati ...kule staff room kisa sikufyeka eneo khaa!!!!!
 
Nibisheje tena mkuu...Umemaliza yote...Hivi yule maza mnoko aliyekuwa jirani na Kinunda nilikuwa namchukia balaa....Alishawi nipigisha deki ati kula staff room kisa sikufyeka eneo khaa!!!!!
Tedo tuanze kubishana miaka
 
Halafu inaelekea unapenda uabishi sana wewe....Halafu inaelekea we wa kitambo sana hapo Oldbizo...

Jaman waalimu wa Tuitionz moshi mjini wanapatikana kwa upande wa phys bios and chems?? Au ndo hivyo m2 akifunga skuli mpaka Dar ndo atapata waalimu wakali??
 
Dogoooo Google MTU anaitwa Justin kisoka utajua product za old Moshi ziko vipi, pia ulizia msele

we wa zamani sana, kipindi cha msele! Baada ya msele alikuja shayo kutoka arusha sec(akikuta asubuh umelala hujaenda assembly anakupeleka hata ukiwa na boxer tu), akaondoka 2007 akaacha shule chini ya kirumbuyo(was the best teacher of that time, "mkienda mjini msichelewe kurudi" ) na alikuja jamaa mwingine anaitwa ignas j sanga(nitamkumbuka sana alinipa sper ya wiki 2) alikuwa mbabe sana huyu na alipoondoka angalo akapata promotion.
I cant forget those good days of staying at "Home of brave land of free"
 
Vp maticha wa tuitionz moshi mjini wanapatikana kwa upande wa Phys , Bios and Chems??????

wapo maeneo ya st joseph training mkabala na kilimanjaro hosipita opposite na ofisi za wyca kuna jamaa anaitwa deo alikuwa mzuri sana kwa chem& bios kwa sasa cjuia kama bado yupo ila ni centre nzuri ya tuition kwa moshi kwa wakati huo kwa sasa sina uhakika sana.
 
Karibu oldbizzo a.K.a nyumbani kwa werevu.
Kilichonofurahosha pale ni msuli binafsi ndani ya chemba za vyoo vya zamani au DH.
Umeme ukikatika unazamia ushirika kupiga msuli.
 
Dah wadau wa Old Moshi High School mmenikumbusha mbali sana. Nakumbuka those years early 90s tukiwa O level kulikuwa na headmaster aliyeitwa Mtui (RIP). KJJ Mtui alikuwa bomba sana alikuwa akihutubia school assembly anamaliza na slogan yake ya Love your school, love one another.
Kwa wale wanaokwenda pale A level ukiwa serious utafaulu vyema kwani mazingira ni rafiki hakuna wa kukufuatilia na jua wajibu wako. Nawakumbuka walimu wa A-Level ( Chemistry- Mama Samanya, Mama Mlingi na Ngwinya) Biology kulikuwa na Mama Kimaro (RIP) Mama Rutazaa, Physics -Shayo na Maths- Kinunda duh dogo anavuta fegi kama kapagawa. Kuna walimu wengine O level nawakumbuka Lisapita, Kimbi Mzee wa French. Yaani nikikumbuka "Ongoza vema Angaza" nasisimka.
 
We nani wee mbona kama nakujua vile nitaku PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…