Kuna nini ndani ya moyo wa Lowassa?

Kuna nini ndani ya moyo wa Lowassa?

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
1,890
Reaction score
384
[h=2]Hivi Lowassa anawaza nini hapa?? waliosomea saikolojia watusadie[/h]
MMGL0629.jpg


Naomba wale viongozi wa Dini wanaomuunga Mkono Lowasa msadieni kutatua ,Mambo yanayomsumbua Lowasa na Kama hali hii itaendelea ni hatari!!
Hoja hapa Kuna nini Ndani ya Moyo wa Lowasa???


 
Anawaza Urais tu Hakuna option ya kuukosa.....
 
Lowasa anawatesa sana aisee!
Muacheni Raisi mtarajiwa afikirie jinsi gani atayatatua matatizo ya wananchi wake!
Huyo ni Raisi anaye subiria kuapishwa!
 
hivi zilepesa anazotoa kukusanya wana wa ccm, hatarudishiwa kwa namna ipi na nani ?.

(ameshapoteza sifa ya urais)
 
Daah.....hierarchy of needs ( Self esteem)
 
lowasa katupiwa sumu kali uyo kila bada ya dakika tano mwili una sisimkaa na kutetemeka..
 
Jamani huyo anawaza jinsi atakavyoendesha gurudumu la ujenzi wa taifa ambalo wengi walishindwa kulisukuma, ah ha a ah aje na nguvu mpya, kazi ipo
 
Back
Top Bottom