Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 828
Hela yake anayoimwaga atarudishaje ?...
Lowasa ana oversecretion of Urais hormones, ambayo ni biological disorder.
Najaribu kutafuta picha zake za zamani nione kama hili jicho lake la kulia ndivyo hivyo lilivyo toka zamani au linaanza kup00z@[h=2]Hivi Lowassa anawaza nini hapa?? waliosomea saikolojia watusadie[/h]![]()
Naomba wale viongozi wa Dini wanaomuunga Mkono Lowasa msadieni kutatua ,Mambo yanayomsumbua Lowasa na Kama hali hii itaendelea ni hatari!!
Hoja hapa Kuna nini Ndani ya Moyo wa Lowasa???
Ni la kushoto. Utazame vizuri na huo mdomo, visible signs of a mild stroke.Najaribu kutafuta picha zake za zamani nione kama hili jicho lake la kulia ndivyo hivyo lilivyo toka zamani au linaanza kup00z@
Ni la kushoto. Utazame vizuri na huo mdomo, visible signs of a mild stroke.
Kapewa assurance na yule tapeli wa Nigeria kwamba zamu hii ni yake. Wacha watu wale pesa yake.Dah,
sasa mbona anautaka sana urais??
Kapewa assurance na yule tapeli wa Nigeria kwamba zamu hii ni yake. Wacha watu wale pesa yake.