Umsolopa ganz
Senior Member
- Jun 11, 2015
- 162
- 39
[h=2]Hivi Lowassa anawaza nini hapa?? waliosomea saikolojia watusadie[/h]![]()
Naomba wale viongozi wa Dini wanaomuunga Mkono Lowasa msadieni kutatua ,Mambo yanayomsumbua Lowasa na Kama hali hii itaendelea ni hatari!!
Hoja hapa Kuna nini Ndani ya Moyo wa Lowasa???
Amani na upendo mkuu,lkiwamo huruma tele kwa watanzania wanyonge!!!