Kuna nini NBC, hongera NMB na CRDB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna nini NBC, hongera NMB na CRDB

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Foundation, Jun 30, 2011.

 1. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,454
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Siku chache zilizopita Serikali ilitoa agizo wafanyakazi wa serikali wawe wamelipwa mishahara mapema na ikatoa maagizo kwa watendaji wakuu wa Wizara na Halmashauri. Agizo hilo limetekelezwa na hiyo tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali wenye akaunti wamepata mshahara kabla ya tarehe 25 ya mwezi huu na wale wenye akaunti CRDB nao wamepata.

  Lakini cha kushangaza Wale wenye akaunti NBC mpaka leo hawajapata mshahara. Kunani NBC? Pesa hizo mnazifanyia nini?

  Nawasilisha
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  Mafuru ana project yake inaitwa project 66 ana zungusha hela zenu ili atimize malengo yake.
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,548
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  NBC hawajaikopesha serikali kama zilivyofanya NMB na CRDB
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Muwe mnaangalia na cha kuandika,kama huna facts kaa kimya!
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  sasa kama serikari imechelewa kupeleka NBC wafanye nini?
   
 6. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,454
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Serikali imechelewa NBC tu? Na wala sio CRDB na NMB
   
 7. k

  kituro Senior Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mie nawafahamu zaidi ya watu 15 ambao mshahara wao unapitia NBC mpaka kufikia tarehe 25 walikuwa wameshapata
   
Loading...