Kuna nini kwenye Fremu za Miwani na Glasses?

Kwani hapa Nchini Tanzania kuna wanaotengeneza ili tusiagize nje?
Hivi TBS huwa wanazipitia kuhalalisha bei kulingana na ubora?
Sifikiri kwamba kuna wanaotengeneza, na hilo ndilo tatizo.

Na huhitaji kiwanda chenye nuclear reactor kufanya hivi.

Ukiwa na 3D Printer, na ujuzi wa kuitumia, unaweza kutengeneza frames hata nyumbani.

Ona hapa huyu mtu anaeleza alivyotengeneza.

 
Sifikiri kwamba kuna wanaotengeneza, na hilo ndilo tatizo.

Na huhitaji kiwanda chenye nuclear reactor kufanya hivi.

Ukiwa na 3D Printer, na ujuzi wa kuitumia, unaweza kutengeneza frames hata nyumbani.

Ona hapa huyu mtu anaeleza alivyotengeneza.

Safi sana
 
Kuna miwani zinafika mpaka milion moja na ushee gharama zake.

Aina za fremu ziko bei tafauti - kuna za bei nafuu na bei za uhakika (500k na kuendelea)
vioo inategemea kama unataka vya glass (bei rahisi) au plastic (bei ghali)

Plastic au glass unaweka scratch proof kuzuia michubuko (scratches) - ongeza gharama
Unataka za kubadilika rangi (photochromic) au la - yaani ukiwa kwenye jua lens zinakuwa nyeusi kama sunglasses - ongeza gharama

Ukipiga jumla hapo unajikuta unatema karibu 1m.
True
 
Mimi mwanzo nimetupa hela nyingi sana kwenye miwani.
Rafiki akanipa chimbo za miwani ya bei poa mno na haivunjiki wala nini.
 
Kiframe kidogo tu hivi naambiwa Laki 4.
Glasses zenye blue cut 450,000/=
Jumla 850,000/=. Miwani hiyo midogo dogo tu hivi.


Kuna nini?
uko ulikoenda sio kwako waachie wengine. ukitaka miwani ya bei nzuri nenda hospitali kubwa za serikali hapo utapata hata za 30000-50000 ila sasa ndo utakuta miwani na frem yake vina uzito wa Kilo 5
 
Back
Top Bottom