Kuna nini kwenye Fremu za Miwani na Glasses?

Branding pia ina-matter Kuna designers glasses n.k. hapo ni kwenye fremu...

Kwenye vioo kuna utofauti inaweza ikawa photochromic (inabadilika kulingana na mwanga) inaweza ikawa bifocal, inaweza ikawa plane n.k...., kwahio ni wewe tu hata ukitaka ya Tshs 10,000,000/= nina uhakika utaipata
 
Ukitaka miwani ili ikupendeze na wao wanajua kuwa unataka miwani inayokwenda na wakati lazima wakupe bei kubwa,ila ukitaka zile frame za miaka ya 70 utapata kwa bei pungufu...
 
Kiframe kidogo tu hivi naambiwa Laki 4.
Glasses zenye blue cut 450,000/=
Jumla 850,000/=. Miwani hiyo midogo dogo tu hivi.


Kuna nini?
Moja ya tatizo ni kwamba tunaagiza vitu vingi kutoka nje.

Kwa hiyo hapo tunaongeza gharama za usafirishaji, kodi, faida.

Angalia hapa Marekani kwa frames za kawaida unapata 2 kwa $70, maana yake moja jwa $35, ambayo ni kama Sh 80,000.

Sema, miwani ukiwa unahitaji lens maalum, hata frame bei inaongezeka.

Pia kuna mambo ya brands fulani zinaweza kuwa na bei kubwa zaidi

 
Back
Top Bottom