Kuna nini kwa madereva wa CHADEMA

Mkuu hoja yako ya msingi sana lakini nani mwenye wajibu wa kujibu hoja yako? Jibu ni wenye mamlaka/dola/ serikal/polisi. Hakuna mtu mwingine atakayekuwa na jibu zaidi ya dola.
 
Majibu mepesi dhidi ya maswali mazito.

Ni mashaka ya dereva kutopata hata mchubuko yaliyochochea CDM wakati ule kutaka Mallya ashtakiwe. Akashtakiwa.

Tuendelee kujiuliza maswali.
We kweli kiokote unataka tujiulize maswali yako tu?
 
Back
Top Bottom