Japo mambo ni mengi, acha tuchague ya kujiuliza!
Wana Bodi ni hivi; nakumbuka mwaka ule Chacha Wangwe alipopata ajali na kufariki papo hapo swali kubwa lilikuwa ilikuwaje katika ajali kama ile dereva bwana Mallya hakupata hata mchubuko. Ni kutokana na mtanziko huo viongozi wa Chadema walisisitiza lazima Mallya ashtakiwe, waliamini kuwa kifo cha Wangwe hakikutokana na ajali ile bali kupigwa risasi kicha gari kugongeshwa.
Kama nilivyosema, mambo ni mengi. Naomba niulize swali hili. Kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ambalo lilitokea Septemba 7, 2017 pale Dodoma suala la dereva limejitokeza tena. Kwa mara nyingine dereva si miongoni mwa waliozulika na shambulio lile. Hakupata hata mchubuko licha ya risasi zaidi ya 38 kupigwa uelekeo ule ule aliokuwepo pamoja na Bosi wake.
Tofauti na tukio la kwanza ambapo viongozi wa CDM walilisitiza kuwa mtuhumiwa nambari moja dereva wa Wangwe lazima ashtakiwe; alishtakiwa na kukutwa hana hatia. Huyu dereva wa Lissu viongozi hawataki aguswe. Nini sababu ya mabadiliko haya licha ya ufanano wa ahusika na matukio.
Yako pia maajabu mengi yanayoambatana na tukio hili la pili, ikiwa ni pamoja na namna ambavyo dereva aliweza kukwepa risasi hata moja huku bosi wake zikimpata 16. Je, hakuwa ndani ya gari? Je, tumuamini Musiba anayedai zile hazikuwa risasi za moto?
Hebu tubaki kwenye hili la madereva kwanza...
1. Katika ajali ya Wangwe dereva hakudhulika hata tone...,
2. Katika shambulio la Lissu dereva hakupata hata mchubuko....
Je, ni bahati ya madereva au matukio ya kupanga? Inakuwaje madereva wote wawili wa viongozi wa juu CDM kuwepo katika matukio makubwa lakini wao hawadhuliki hata tone?
Tusiitane majina mabaya, tujadili kwa kutumia bongo sio rangi za bendera!