Kuna nini kinaendelea?

Kuna nini kinaendelea?

Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge..foleni imefika hadi Victoria.
Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali..
Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo
Sasa wewe umejuaje wanaenda kwenye kikao, au wanatoka kwenye kikao, na huo ugafla umejuaje.

Kama umeweza kujua hayo yote mpaka idadi ya majenerali waliopo kwenye magari, Ulitakiwa utueleze kitu unachokijua, yaani wanachoenda kujadili, ama walichojadili, badala ya kuzania zania tu.
 
Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge..foleni imefika hadi Victoria.
Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali..
Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo
Acha upimbi we poyoyo. Nenda kalale
 
Unamtengua mkurugenzi wa usalama as if unamtengua waziri.....
Acha ushamba wewe, mbona ni kama vile haujaelimika? Aliyemteua ndiye mwenye mamlaka ya kumtengua period. Inawezekana hata Katiba yako huijui, idiot.
 
😂😂😂nipo na mzee wangu hapa nimesmomea huu uzi anasema lolote na liwe Tumechoka..nikaghuna tu sijamuuliza kitu...
 
USA na super power countries ukienda huwezi Kuona misafara mingi mingi.
Safari za ndani ya nchi zinatumika hell copter.
Mara ya mwisho ulienda lini U.S.A maana sisi wengine tunaangalia You tube, nilijaribu kuandika U.S.A. president code, nikagundua magari ni mengi zikiwemo pikiki, nikagundua hata tukiuza gari zote, zilizpo kwenye msafara wa rais wa Tanzania, fedha zake haziwezi kununua gari moja la rais wa marekani.

Hapo bado magari mengine na vikorombwezo vyake, ni nikaona msafara wa rais wa marekani ni wa garama kubwa kuliko msafara wa kwetu, ila moyoni nikajisemea siyo wakujiringanisha nao.

Ila nyie mliuona msafara rais wa marekani kwa macho yenu huko marekani ndiyo mnaona ukweli, kuliko tunayoyaona youtube.
 
Muulize hell copter ndio kitu gani
 
Taarifa Yako Hatujaipokea Maana Foleni Dar Es Salaam Ni Kawaida Sana
Siyo Jambo Jipya Hata
 
Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge..foleni imefika hadi Victoria.
Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali..
Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo
Lini tena walifanya ?
 
Back
Top Bottom