Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,633
- 4,229
Kigogo ni mmoja wao hukohuko serikalini, Tena ni waziri ambaye Yuko karibu na Rais wa Sasa, unaachaje kumuamini? Yawezekana hata Rais mwenyewe hajui kama jamaa ndo likigogo la tweeterUnamwamini huyo mjinga