Kuna nini kinaendelea?

Kuna nini kinaendelea?

Waiuane tu ndio cha muhimu apa ,haina haja ya kutoana roho kisa mamlaka au mali za hapa ulimwenguni
 
Tujiandae tu kwa mabreaking news ya kushato wiki hii.
 
Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge..foleni imefika hadi Victoria.
Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali..
Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo
Bongo nyoso..!😅😅😅😆
 
Kigogo 2014 Kesha kiwasha tweeter huko, anasema Kuna jambo zito linakwenda kutokea sijui jambo gani hataki kufunguka.
 
Kuna foleni kubwa hapa maeneo ya Mwenge..foleni imefika hadi Victoria.
Kumbe kuna msafara wa CDF wa magari zaidi ya 16 yanatokea Lugalo ukiambata na Majenerali..
Hawa jamaa wakianza vikao vya ghafla kama hivi ujue kuna jambo
Acha hizo mkuu...
 
Uko makini hapo Mwenge kuangalianamba za magari za Jeshi daah mpaka ukajua na za majenerali wengine safi sana
 
Back
Top Bottom