masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
wasalaam wanaJF?
Nimekuwa mfatiliaji sana wa siasa za hapa nyumbani kwa muda mrefu,ila sijawahi shuhudia mh Mwigulu akimkosea adabu mh. Zitto Kabwe kama anavyofanya kwa katibu mkuu dr. Slaa,hawa watu vyeo vyao viko sawa ndani ya vyama vyao,Zitto kabwe ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA na Mwigulu nae ni naibu katibu mkuu wa CCM.
Katika mda tofauti watu hawa wamekuwa wakialikwa kwenye vipindi vya Tv kwa pamoja ila kuna muda mmoja nashindwe kutokea mara nyingi watangazaji husingizi foleni,kuwa mgeni wetu kashindwa kuja sababu ya foleni,mfano,kuna siku star tv waliwaalika naibu katibu mkuu wa CUF Mtatiro,naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zitto na naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu ila Zitto Kabwe hakutokea na siku hiyo Mwigulu aliutangazia umma kuwa anao mkanda unaonyesha viongozi wa juu wa CHADEMA wa kupinga mauaji:
Nimekuwa nikiwaangalia hawa watu kwa jicho la 3 muda mrefu sana,Mwigulu kajikita sana kumshambulia Dr. Slaa,vile vile mh. Zitto Kabwe nae kajikita sana kwa waziri mkuu Pinda mpaka ilifikia hatua ya kukusanya sahihi za kutokuwa na imani na waziri mkuu,na sasa kaja na suala la mshahara wake,.
Nikirudi upande wa Mwigulu imefikia hatua mpaka kaajiri vijana ambao wanatumia Id zaidi ya 4 kwa mtu mmoja ili kumdhalilisha Slaa na mara chache Mbowe,kuna mambo mengi sana hayako sawa na ukiyafuatilia utagundua nachoongelea hapa,kwani kuna mambo mengi sana mabaya ambayo Mwigulu kaifanyia CHADEMA mpaka sasa lakini kamwe hutamsikia Zitto kayakemea pia upande wa Zitto kuna vitu vingi sana kaviibua kuhusiana viongozi wa CCM mfano fedha za Uswiz and so on ila hutamsikia Mwigulu kamsema Zitto kwa lolote kama alivyozoea kuwasema Slaa na Mbowe:
Swali la msingi: Watu hawa kuna makubaliano yoyote waliyoyafanya ili kutunziana heshima?
sina nia ya kuwachonganisha Zitto na Mwigulu bali wao ni public figures na matendo yao yanafuatiliwa kwa ukaribu mkubwa na watu mbali mbali nje na ndani ya nchi yetu.
Ombi: Tusijadili maisha yao binafsi bali kazi zao na harakati zao ndani ya vyama vyao.