Jiandae kuwauza na nduguzo anampangao wa kuwanunua vipi leo umeingia shifti ya asubuhi? Utakuwepo ile timumpya ya kumteka zito baada ile ya ben saanane kufei kumpa sumu zito.naona mnaendelea kutanua soko la Meno ya tembo.KINANA NI NOUMER
Jiandae kuwauza na nduguzo anampangao wa kuwanunua vipi leo umeingia shifti ya asubuhi? Utakuwepo ile timumpya ya kumteka zito baada ile ya ben saanane kufei kumpa sumu zito.naona mnaendelea kutanua soko la Meno ya tembo.KINANA NI NOUMER
Tumeshuhudia ziara ya Rais wa China hapa nchini pia ziara ya Kinana iliyochukua siku kadhaa huko China, kinachonifanya niulize swali hili ni kuwepo na taarifa za kuwa Mwigulu Nchemba naye yupo China na kama tunavyojua Kinana, Nape na Mwigulu wote hawa ni Viongozi wa CCM.
Nauliza tena kuna nini kati ya China na CCM?
Wanamkakati wa kusaidia kumlinda mama zito dhidi ya mipango ya mbowe kutaka kumteka mama zito.Tumeshuhudia ziara ya Rais wa China hapa nchini pia ziara ya Kinana iliyochukua siku kadhaa huko China, kinachonifanya niulize swali hili ni kuwepo na taarifa za kuwa Mwigulu Nchemba naye yupo China na kama tunavyojua Kinana, Nape na Mwigulu wote hawa ni Viongozi wa CCM.
Nauliza tena kuna nini kati ya China na CCM?
Kaka wasikupe homa hawa wepesi sana,watakutana na kimbunga 2014,,
Nisaidie na hili kuna nini kati ya chadema na ujerumani?
Jiandae kuwauza na nduguzo anampangao wa kuwanunua vipi leo umeingia shifti ya asubuhi? Utakuwepo ile timumpya ya kumteka zito baada ile ya ben saanane kufei kumpa sumu zito.
Utabaki na fikra hizohizo za kitoto wenzako wanasonga mbele baada ya kushindwa kumuuwa zito na mama yake mmebaki kutapatapa mtageukia kwa shibuda na mtei mda siyo mrefu.
Wakuu naombeni kuuliza hivi pembe za tembo zinatumika kutengenezea vitu gani?
kimbunga mlichokutana nacho kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani uliopita hakikuwatosha pale mliambulia kata nne kati ya kata 25
Wala msiende mbali kote huko subiliini kipigo kingine uchaguzi huu wa marudio ya kata 23 halafu baada ya hapo nadhani mnaweza mkajipima nguvu kuelekea 2014 na 2015.
Hizo ndoto za mchana hata abunuwasi huw anaota.
Nisaidie na hili kuna nini kati ya chadema na ujerumani?
Tumeshuhudia ziara ya Rais wa China hapa nchini pia ziara ya Kinana iliyochukua siku kadhaa huko China, kinachonifanya niulize swali hili ni kuwepo na taarifa za kuwa Mwigulu Nchemba naye yupo China na kama tunavyojua Kinana, Nape na Mwigulu wote hawa ni Viongozi wa CCM.
Nauliza tena kuna nini kati ya China na CCM?
Njoo Mbozi uone nguvu ya umma jana tulikuwa boda ya wajanja maccm tuliyapiga kabang.
Wanamkakati wa kusaidia kumlinda mama zito dhidi ya mipango ya mbowe kutaka kumteka mama zito.
Acha kujidanganya wewe duniani kote hakuna nguvu ya umma iliyowahi ongozwa na vyama au wanasiasa.
Fatilia vizuri usipende kukurupuka.
Mtaendelea kujifajili hivyo hata lini?waambieni viongozi wenu (wajasiliamali wa kisiasa)wawaambie ukweli maana wao wanaujua ila wanawajaza ujinga kwamba nchi hii kamwe haitokaa ikaongozwa na chadema simply because they dont have even a single element of real opposition.
Huko Momba unakokuzungumzia wewe katika uchaguzi wa marudio wa vitongoji na serikali ya mtaa ccm ilishinda kitongojikimoja kilichokuwa kinagombaniwa nanyi mkaambulia patupu na ikashinda mitaa yote we unasema nguvu ya umma nguvu ya umma gani hiyo mliyonayo ambayo haiwapigii kura?
Hopeless!
Ongeeni yooooote mnayoongea kuhusu sisi badala yakuwaambia nini mmefanya ili waendelee kuwachagua tena mnabaki kutuponda sisi makomandoo maana mnajua hakuna mlichokifanya na jimbo hilo pamoja na la mbeya mjini yote yanaludi ccm 2015.
Siku tukija huko mtahama mji.
Haujatoa jibu unachofanya hapo ni kuendelea kujipakaza mavi usoni.Wewe mwehu kwani rais wa china alivyokuja alitembelea ofisi za ccm? Rais wa china alikuwa na ziara ya kiserikari wala siyo ya kichama fikra zako haziko sawa utakuwa milembe day?
Ni umbumbu kwa viongozi wa CCM kila kukicha kwenda China au?Huu ndio umbumbu wa
Uzushi upi ndugu hao viongozi hawajaenda China na je mwigulu hayupo China?Nchi hii ni ya watanzani wote wengine utadhani wametumwa kuleta vitu vya ajabu humu,mbona mzee slaa akitembelewa na wajerumani na wadenish mbona huleti mada humu tujadili we mgonjwa kweli acha mada zako za kizushi.
Unamaanisha nini kuandika hivi?Huu ndio umbumbu wa wanna cdm.hawajui kama magharibi wamefilisika na kwamba China ndio world powerhouse. Wakati nchi zote zinawatafuta
Hoja hiyo imeishachuja kilichobaki sasa ni Kinana na Pembe za Ndovu.Utabaki na fikra hizohizo za kitoto wenzako wanasonga mbele baada ya kushindwa kumuuwa zito na mama yake mmebaki kutapatapa mtageukia kwa shibuda na mtei mda siyo mrefu.
Wewe utakuwa unatumika kwa ajili ya ..........Zinatumika kutengenezea zipu za sketi na magauni pamoja na sabuni za unga.