Kuna nini kati ya CCCM na vyombo vya habari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna nini kati ya CCCM na vyombo vya habari?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calipso, May 20, 2009.

 1. C

  Calipso JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kufatilia kwa makini vyombo vyetu vya habari kwa muda sasa,lakini nashindwa kupata jawabu sahihi.. kwa kuanza kuangalia habari za chama cha mafisadi ( CCM ) nikaona inaongoza kutangazwa na vyombo vya habari.. sikuacha hapo nikaangalia zaidi nikaona chadema wanafatia,kwa kujaribu kuingia ndani kidogo nikaona kama kuna kamchezo fulani kati ya CCM na Chadema.. la kushangaza sana ni kwamba TLP,NCCR mageuzi,cuf n,k sioni kutajwa sana.. kwa mfano kama CUF nimeona baadhi ya sehemu kwa upande wa bara inakubalika kuliko chama chochote lakini husikii kabisa habari zake na kama ikitajwa basi itakuwa NI NEGETIVE INFORMATION... lakni ccm na chadema sehemu wanayokubalika wanatajwa saana... kuna mwandishi mmoja nilijaribu kumdadisi akaniambia hii kutangazwa chadema sana kuliko cuf ni kutaka kuionesha jamii kua chadema ipo juu kuliko cuf ili kuiua kabisa cuf.. na wanofanya hivi ni ccm,lkn bado sijaridhika na jibu lake..
  KUNA NINI KATI YA CCM na VYOMBO VYA HABARI?
  KWANINI CCM NA CHADEMA WATAJWE KULIKO VYAMA VYENGINE WAKATI CUF IPO JUU SANA?
   
Loading...