Kuna nini Arusha? Rais ziarani Arusha tena

Kuna nini Arusha? Rais ziarani Arusha tena

Nimepata picha za jk akiwa na viongozi wa dini jana nimeshindwa jinzi ya kuziweka
 
aint no place like a town....mzee mwenyewe anajua akitaka kupumzika apate upepo mwanana huku akifuatilia biashara zake basi A town is the place to be..hata msoga sio kutamu hivyo...ningemshauri ajenge hekalu a town badala ya lile analojenga bagamoyo la kazi gani
 
Mkuu wewe hujui ile kampuni kubwa ya madini ya Tanzanite mkulu ana hisa kiasi gani?

Mwanzoni alikuwa anamtumia mwanae(Ridhwani), lakini baada ya issue ya china, Mkwele kaamua kukamata mikoba mwenyewe.

Sio Tanzanite One tena, inaitwa Richland Mining Co Ltd, Wanahisa ni Amb. Ami Mpungwe aliyekuwa balozi wetu huku kusini mwa Afrika, JK, EL, Ben Mk,Ben Membe, R1 ameingizwa juzi tu, na wale waliokuwa wakisimamia under the umbrella of owners wanabaki kuwa waajiriwa wa kawaida tu. Ili wasigundulike kuwa ni wao, wameshatangaza hisa asilimia 50 kupewa wazawa, na wao ndio wanaojiita wazawa hivyo hakuna cha hisa50% kwenda kwa wazawa wadogo...Ufisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadi!!!
 
Huku Ars si unajua kuna makoloni yake ya zamani!!! Nyuma ya Golden Rose na sehemu nyingine nyingi tu.
 
Mkuu wewe hujui ile kampuni kubwa ya madini ya Tanzanite mkulu ana hisa kiasi gani?

Mwanzoni alikuwa anamtumia mwanae(Ridhwani), lakini baada ya issue ya china, Mkwele kaamua kukamata mikoba mwenyewe.

issue gani ya China tena
 
Nimepata picha za jk akiwa na viongozi wa dini jana nimeshindwa jinzi ya kuziweka

Dini moja inaonekana kama imeshiba kuliko ingine kwa muonekano wa viongozi wenyewe wa kidini

kia3.jpg


kia4.jpg


kia2.jpg
 
Arusha kuna Tanzanite One, Kuna ile hoteli inayotakiwa kujengwa kule Natron, Usisahau barabara ya Mto wa Mbu -Loliondo kupita Natron kwenye hiyo Five Star Hotel.
 
Kwa hyo ulitaka aje kumtembelea mkeo au?

wapambe mna kazi!!! uko tayari kutukana kulinda mkate wako wa kila siku. hoja hujibiwa kwa hoja siyo matusi. acheni hekima na busara itamalaki hapa JF.
 
Ulitaka aende Mwanza au Mbeya akazomewe?
Jamaa mjanja sana
 
Kwa hiyo Arusha ndio kuna washabiki wake wengi zaidi ya mikoa ulioitaja?

Si kwamba ana ushabiki huko ila ukweli ni kuwa Mbeya pagumu sana kumbuka alipigwa mawe msafara wake.
Pia ukiangalia Mjiji yote anapenda enda Arusha sana kuliko Tanga,Mbeya,Mza
Dar yupo siku zote
 
Back
Top Bottom