CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,464
Kule anaendaga ku consume his own goods, wachumi watanielewa, yaani kile kitendo cha Producer wa Product au Servise kuwa ndo huyo huyo mnunuzi wa hiyo product au service ndo anacho fanya mkuu, hata ikendaga kule Serengeti anacho fanya ni kwenda kununu huduma anazo zalisha mwenyewe means anajiuzia