Wenyewe si wamekubaliana? Nyie funga mguu nyuma geuka,mwendo wa haraka mbele tembeaa!
Mmmh.......hata mimi napata wasiwasi........sijui itakuwaje.......
Kwanini asikubali kuolewa nae kama anampenda!Ndoa itadumu kama kuna mapenzi ya dhati..Habari wana Jamvi.
Nina rafiki wa karibu hapa, Yeye ni dereva taxi wamependana kwelikweli na mdada flani hivi tangia binti huyo anasoma.
Walikubaliana akishamaliza tu waoane ila sasa mdada kwa level yake ya elimu alofikia na kaz aifanyayo ndio inatutia shaka sisi rafiki ya jamaa yetu. Mdada kahitim masters yake ya Ba nakula mshavu wa maana kwenye kampuni ya maana ambao unampa take home ya maana.
Japokua dem na mshakaji bado wako na msimamo wao ule ule Lakini utata unakuja
1.je huyu mdada atakubali kweli kuolewa na dereva taxi huyu?
2.Wakioana unafikiri ndoa yao itadumu?
"Kwanini asikubali kuolewa nae kama anampenda!Ndoa itadumu kama kuna mapenzi ya dhati..
Ni kweli mdada haoneshi namna yoyote ya dharau. Lakini watu hubadilika kutokana na mazingira ndo hilo linalohofiwa, Anakwenda ofcn anakutana na maboss wa hadhi yake watamtokea hawa kweli nafasi ya rafiki yetu si itakua inapungua daily kwake?kama dada aonyeshi namana yoyote ya dharau ni sawa tu. kikubwa ni penzi tu. tumwombee mungu.
Kautofauti hakapo lakini tulivomshauri jamaa yetu kama vipi amtie mimb ili ajihakikishie lakini alivomuendea mdada akamchomolea eti mpaka waoane. Lakini hii ndoa hii ndio yatutia mashaka koz hata akienda kwa wazaz wa mdada hawamfurahii na mshua ake alishawahi mkataa laivu thoo mdada still anampenda mshkaji.kwani jamaa kaona tofauti yoyote katika mahusiano yao hadi aanze wasiwasi?