Kuna mwewe anga la Dar es Salaam

Kuna mwewe anga la Dar es Salaam

Una kitu kwenye uzi wako, ila watu hawajakuelewa!!!

Asante ndugu. Wengine huwa wanasoma tu maandishi kama maandishi, kumbe maandishi yana zaidi ya herufi, nukta, viulizo, mishangao, full stop, ampersand etc. Asante sana, chukua beer au soda hapo ulipo nakuja kulipa.
 
Mwewe huchukuwa vifaranga hai si mizoga. Huyu wa Dar keshasmbaratisha vifaranga wengi maana huwashukia bila huruma
 
Sijawahi kuona mwewe...kuna kunguru wa dar hawa wanabeba hadi chupi ukianika pambaff
Ahahahahahahaa akiona umeanika nguo nyeupe au unakinga maji na haja kubwa mnamshika hapo hapo ilimradi akuharibie
 
Back
Top Bottom