Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,391
- 1,911
Anga ya Dsm? Au anga ya mtaani kwenu
Hawa Kunguru nilianza kuwaheshimu siku nilipomshuhudia katua juu ya kalai linalochemka la mchoma chips. Kunguru yule. Akazamisha mdomo. Kuibuka! akachomoka na kipapatio!Na wakipita pita juu heri kuwakwepa hawakawii kukudondoshea utumbo wa kuku kichwani
Nimekuja mbiiio najua kuna pichaKwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
mtoa mada analalamikia mwewe na sio tai mkuuMwewe au Tai mkuu??
😀😀😀😀Hawa Kunguru nilianza kuwaheshimu siku nilipomshuhudia katua juu ya kalai linalochemka la mchoma chips. Kunguru yule. Akazamisha mdomo. Kuibuka! akachomoka na kipapatio!
Ndo siwaelewi hata mieafu wewe bana..... hao kunguru ni njaa ama wametumwa?
Chupi zako zinakiarufu ya papuchi kunguru wanadindisha wakasikia kiarufu wanaona waamishie getoni waligie puchu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]Sijawahi kuona mwewe...kuna kunguru wa dar hawa wanabeba hadi chupi ukianika pambaff
uthengeChupi zako zinakiarufu ya papuchi kunguru wanadindisha wakasikia kiarufu wanaona waamishie getoni waligie puchu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]
Haaa jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa Kunguru nilianza kuwaheshimu siku nilipomshuhudia katua juu ya kalai linalochemka la mchoma chips. Kunguru yule. Akazamisha mdomo. Kuibuka! akachomoka na kipapatio!
Hahaaaaaaaaaaaa sili tena magengeniHawa Kunguru nilianza kuwaheshimu siku nilipomshuhudia katua juu ya kalai linalochemka la mchoma chips. Kunguru yule. Akazamisha mdomo. Kuibuka! akachomoka na kipapatio!
Chupi labda ya kinadada wachafu wachafu kama wa mabibo hostelSijawahi kuona mwewe...kuna kunguru wa dar hawa wanabeba hadi chupi ukianika pambaff
Ninatengeneza green house za kuanikia nguoNa wakipita pita juu heri kuwakwepa hawakawii kukudondoshea utumbo wa kuku kichwani
Kuchekeshana kwa sauti usirudieVyuma vimekaza wanangalia atakayeanguka sababu ya njaa wamtafune