Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
Ndio uko sahihi kabisa.Hisia sio mchezoPossibly ur right. N silaha gani kali kuliko kuumiza hisia za mtu? Hicho ndicho huwa wanafanya.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Ndio uko sahihi kabisa.Hisia sio mchezoPossibly ur right. N silaha gani kali kuliko kuumiza hisia za mtu? Hicho ndicho huwa wanafanya.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Bonge ya pointwanawake silaha kuu waliyonayo ni mdomo......kama umeshaachana nae, no matter mmezaa,,,, lazima atakutukana to death.....but ukiwa na busara wala usihangaike kujibu, kozi mengine yanakera na kukuumiza kweli...ila kaa kimya pigana na maisha....akistuka jua limezama.....
embu sema loloteMmmmh
Akili imekwama Kakangu wa hiariembu sema lolote
hahahaha yasemwayo yana ukweli?Akili imekwama Kakangu wa hiari
Hao siyo wanawake ni visichana. Mwanamke anayejitambua matusi na kashifa za nini? Kwanza hazimsaidii.
Just normal my dear.You have got what I want, I'll come for it.
Just normal my dear.
[emoji15] [emoji15]Mind you, I will come for it.
I am just getting my time, fixing my schedules and trying to make sure that it's for real.
Inategemeana. Mwanamke ambaye hajatoka familia ya shida hata akifukuzwa na mme hujali mambo yake na malengo yake hufocus uchumi tu. Huwezi kumkuta anamdharau mme aliyemwacha na mwishoni hupata heshima.Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua kuwa hakuna mwanaume ambaye aliyemuacha mwanamke akabaki salama,kunakuwa na matusi,kashfa,kuumbuana n.k.n.k.Karibu tuachangie katika hili kama una la ziada.
Sina uhakika kama ni kweeelihahahaha yasemwayo yana ukweli?
[emoji15] [emoji15]
For which purpose?Been going through your profile for this long.
So caught up mam.
Sina uhakika kama ni kweeeli