amri ya saba inasema usizini
kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana denda kwake sio tatizo lakin mapenzi ataki kutoa wana jf naomba msaada?
Ulishamruhusu ashike dushe yako?
hili nalo laweza kuwa tatizo....
Huyo mwanamke atakuwa ana msimamo sana. Anasubiri muda muafaka then atakupa unachohitaji. Hata vitabu vya Mungu vinatuasa kuwa hakuna kufanya ngono mpaka umehalalishwa either kanisani au msikitini, na hayo ndiyo maadili mema ambayo wazazi wetu waliyafuata. Yawezekana huyo mwanadada amekulia katika maadili mema akisubiri muda muafaka wa hilo tendo. Fungeni ndoa then atakuwa huru kwako tadashi.
kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana denda kwake sio tatizo lakin mapenzi ataki kutoa wana jf naomba msaada?
EVE. umeona usumbufu huo niliokuwa nakuambia? sasa kama mtu anampenda kwa nini kumtesa namna hiyo hadi mtu anakuja omba msaada jf.kama mtu hamtaki kwa nini kumpa matumaini namna hiyo.hakuna mateso makubwa duniani kama mateso ya kisaikolojia.Unakumbuka mada yangu ya "mwanamke akikutesa atateseka kimahaba baadae"
kuna mwamke mwaka wa pili namtongoza ananipenda sana denda kwake sio tatizo lakin mapenzi ataki kutoa wana jf naomba msaada?