Kuna MWANAKWAYA kanivutia kanisani kwetu...

Kuna MWANAKWAYA kanivutia kanisani kwetu...

wanasema mke mwema anatoka kwa bwana, changamkia fursa hiyo
 
panga siku ambayo hakuna waumini alafu mwambie mkutane mfanye mazoezi ya kwaya hapo utakua umemnasa vizuri usindwe tu wewe kutupia vocal
 
Unamtaka kivipi
Mke au ndo unataka kumvua pichu usepe?
Maana vijana wa sikuhizi hamweleweki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom