JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
A come this way, niko na warembo wananichuna mshahara wangu......
Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee...... LoL
Jamhuri ya watu wa Rombo, aka "Kwa Mromboo!"
Jackbauer mzima wewe? Hivi kwenye hii Jamhuri Ya Arusha unaishi "mkoa" upi?
halafu uje hapa na bandiko naomba mchango nimtibie mama mkwe ntakukimbiza kama sikujui. ama PM kwangu eti mwenyekiti wa UWJ naskia huwa unajihusisha na charity naomba msaada mama mkwe hana pesa ya dawa...............nakwambia utaniita jina langu la udogo.
we mzee mi naona iliyobaki ni kukuundia TUMEMabinti kama kina cacico, snowhite, gfsonwin, @nivea, @FP, lara 1, Asnam, King'asti, Lisa, Madame B, Neylu, Mrembo by Nature, MwanajamiiOne, Husninyo, Paloma wakijua niko pande hizi hawakawii kutia timu, ngoja nijikusanye nitudi zangui kiotani, maana naanza kuhisi mfuko unakuwa mwepesi..... Isije ikala kwangu
na mimi nakaribia kutangaza jamhuri yangu huku arusha M42
we mzee mi naona iliyobaki ni kukuundia TUME