Kuna mwana JF hapa Samaki Samaki Samora Avenue..

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
A come this way, niko na warembo wananichuna mshahara wangu......

Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee...... LoL
 
duh!hivi yule ndugu yako wa 'Terminal stage'uliyemuhamisha muhimbili amepona?
 
hongereni sana!
Taratibu na hao vimwana usije ukaukwaa ule 'ugonjwa' wa terminal stage ya ukweli ukapelekwa pale muhimbili!

uzee huu mkuu nitaweza wapi sarakasi za vimwana...! hapa nakula kwa macho, vitendo kwa mama Ngina....
 
kama uzee umekaribia usiogope sana!
vimwana wa siku hizi hawakuumbwa na nyuso za haya, kama ukishindwa ligwaride wanakupa za uso....

Chezeiya mabinti wa DOT COM weye.....
 
Mkuu Mtambuzi vipi birthday ya Ngina?mimi nipo hapa SIMBA KAPAKATWA PUB.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…