Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaaa🙄🙄🙄🙄🙄
Halafu akili za watu unaweza kuta ndo huyo huyo anayechimba. Anatafuta dhahabu kwenye shimo lake la kinyesi.Nahitaji kujua kama ni mtu mmoja ndiyo kajaza shimo lote hilo
Uko mm sipooNahitaji kujua kama ni mtu mmoja ndiyo kajaza shimo lote hilo
Hii imeenda 😂😂😂Halafu akili za watu unaweza kuta ndo huyo huyo anayechimba. Anatafuta dhahabu kwenye shimo lake la kinyesi.