Kuna muda mtu unatamani muda urudi japo kidogo!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Ni muda ambao unamkumbuka sana yule uliyempenda sana kwa dhati, unatamani ingekuwa ni jana tu ili leo mrekebishe makosa yenu na kuanza upya! lakini unajikuta umechelewa sana kiasi kwamba huna chochote cha kufanya!

Ukiwa binadamu dhaifu sana ndio watu huishia kujinyonga ama kuwa mlevi kupindukia, kuwa na msongo wa mawazo!

Usimwache aende kama bado unampenda sana itakutesa sana kisaikologia!
 
Mm nilishamuacha mke nilie fungal nae ndoa kanisani,nichakua watoto wangu

Na maisha yanaendelea mpaka sasa bado nipo naishi na wanangu kwa amani

When the heart is broken the brain stops working,use your brain to judge and not your heart
 
Ni upuuzi kuyapalilia maumivu eti kisa unampenda ndio usimuache, ifike mahali ujali na uitambue thamani yako jipende, jijali na jipe muda kuliko kuwa na mtu ambae si sahihi kwako.
 
Back
Top Bottom