Kuna muda mtu unatamani muda urudi japo kidogo!

ahaaa yaani hilo tu wala usiwa na shaka Mkuruzenzi kama hizo hapo 0715-729550[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaitwa nani? Anapatikana wapi?
 
Kuna nyakati zinakuwa ngumu sana kwenye maishaa unakuja kuongeza na mahusiano inakuwa hatarii sanaaa...... Tunawapendaa sanaa tunawathamini sana kwa namna tulivojaliwaa ila wanawake tamaa zitawaua mbwaaa nyieee

NB:Tafuta hela kijanaa
 
[emoji28][emoji28]Punguza jazba upone kidonda
 
Hadi wewe unayejifanyaga baharia uliyeshindikana leo hii unaumizwa na mapenzi? Kweli nimeamini mapenzi hayana baunsa msipende kujifanya mnajitutumua humu kumbe moyoni ukweli mnaujua na mnaumia!
 
Chakushangaza na kusikitisha ni kwamba moyo hupenda mtu ambaye sio sahihi

Moyo huo huo habadilika baada ya kuexperience hali fulani kwa mtu uliempenda na ukategemea makubwa sana kwake na ikawa ndivyo sivyo. Kwahiyo mkuu huwezi kuishi bila yeye hadi unaendelea kuteseka na kuumia juu yake?
 
Hadi wewe unayejifanyaga baharia uliyeshindikana leo hii unaumizwa na mapenzi? Kweli nimeamini mapenzi hayana baunsa msipende kujifanya mnajitutumua humu kumbe moyoni ukweli mnaujua na mnaumia!

[emoji28][emoji28]kuna watu na viatu basi wewe utakuwa viatu [emoji28]
 
Moyo huo huo habadilika baada ya kuexperience hali fulani kwa mtu uliempenda na ukategemea makubwa sana kwake na ikawa ndivyo sivyo. Kwahiyo mkuu huwezi kuishi bila yeye hadi unaendelea kuteseka na kuumia juu yake?

Watu wengi wamepitia,wanapitia katika hali hiyo ndio nikaamua kushare ili watu wafunguke
 
Nadhan wengi ni wale wakosaji, kwa namna moja au nyingine walikuwa sababu kubwa ya kuua upendo kwa wenza wao kwa mienendo yao mibaya mpaka mtu anaamua bora penzi liishe jumla na hapo majuto huanza.
 
Back
Top Bottom