Kuna muda askari tigo ni waelewa

Walikukamata kwa kosa gani?,Au walifika tu nakuanza kudai pesa?
Wenyewe wanamkamata boda yoyote ndio wanaanza kumkagua...hata trafiki anapokusimamisha Sio mpka ameona kosa yeye anakusimamisha na kukukaguwa
 
maskini mwaminifu mwenye nia ya kutoa rushwa,
ukweli una mnamsaidia kujinasua na kuonekana hana hatia mikononi mwa watumishi wa umma wasio waaminifu....
 
Huyu jamaa hajui Kuna watu wanaamka asubuhi hata mia hawana na wanaishi wakiamini badae watapata
Anakaa kwa shemeji keshashiba kiporo cha pilau anashushia na pepsi mkononi ana remote anaangalia filamu zetu azam TV
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…