Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 304
- 1,096
Mkuu Mimi niliwaambia ni mwanaume mwenzao Kama wanashindwa kunielewa basi wanipeleke kituoniKesho wakudake, utajuta. Unaweza sema siyo wale
Kwani kazi yao ni kudai fedha au wana jukumu jingineWakaanza kuniambia ko huna hela yoyote Ile ..mi nikawajibu Sina Nina 3500 tu ndio hio ya mafuta na ndio nilitaka nisukume pikipiki hadi sheli,...bhasi wakaachana na mimi wakaenda zao...kiukweli wamenishika Sina hela yoyote Ile wamekosa namna..
Umefikia hatua ya kusifu askari waliokudai rushwa lakini kwa bahati mbaya ukawa huna cha kuwapa? Unatania jukwaa? Kabla sijasoma mpaka mwisho nilidhani utasema walikusaidia kwa kukupunguzia mafuta kidogo ili ufike kituo cha mafuta cha karibu.Mkuu Mimi niliwaambia ni mwanaume mwenzao Kama wanashindwa kunielewa basi wanipeleke kituoni
au huyu mwamba (mleta Uzi) ndio hao mapolisiUmefikia hatua ya kusifu askari waliokudai rushwa lakini kwa bahati mbaya ukawa huna cha kuwapa? Unatania jukwaa? Kabla sijasoma mpaka mwisho nilidhani utasema walikusaidia kwa kukupunguzia mafuta kidogo ili ufike kituo cha mafuta cha karibu.
Huko jijiniKumbe kuna Askari Tigo!
mkuu usiseme hivyo. ulimwengu wa tatu tunajuanaHivi huwa mnaishiwaje mafuta hadi chombo kuwa cha kukokota?
Gauge mbovu haionesha level ya mafuta au negligence tu?
Huyu jamaa hajui Kuna watu wanaamka asubuhi hata mia hawana na wanaishi wakiamini badae watapatamkuu usiseme hivyo. ulimwengu wa tatu tunajuana
Wapo pia askari Voda ππAskari tigo ππ