Yeye ndio yupo nyuma ya watuKuna mtu yupo nyuma ya askofu GWAJIMA?.
Sio mtu alikuwa na watu, Kwani hukuwaona wale walio kuwa wamekaa nyuma yake wakati anaongea.?sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Nimeshangaa sanaMtu akisema ukweli mnaanza yenu. Gwaji boy 👊
Kama unahisi ni kiburi upo kwenye usingizi mzito, amka!!anampa kiburi mzee wa kawe?
ili imsaidie nini mwananchi wa jimboni kwangu anae hitaji huduma bora zaidi za maji, elimu, afya nk.? 🐒sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Tz ni nchi ya hovyo sana mtu akiongra ukweli mnaanza porojosio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Watanganyika!sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Mungu ndo yupo juu ya Askofu Gwajima; mmezoea kubebwa bebwa ndo maana hamwezi kufikiri mtu aweza kufanya jambo kwa Utashi wakesio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Kama wewe ulivyo nyuma ya CHAUMA..sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Unadhani uhai una thamani sawa na huo ujinga uliotaja?ili imsaidie nini mwananchi wa jimboni kwangu anae hitaji huduma bora zaidi za maji, elimu, afya nk.? 🐒