Kuna mtu yalimkuta haya siku ya valentine chezea valentine wewe

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
7ffeea0ef1b943bbaeefc92dc1df0ed4.jpg
 
Hhhhhh siku 2 kabla Valentine nilibreak up kwa sasa ndo nabembeleza kurudi tena,sipendagi gharama gharama za kipuuzi mm
 
Avatar yako imesema ukweli kuhusu sisi wanaume ila samahani ndugu hicho kichwa cha khabari maneno ya mstari wa mwisho ungejaribu kurekebisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom