Kuna mtu wako wa karibu umeshindwa kumsamehe kwa alichokufanyia

Mimi Mpenzi wangu kila nikitaka kumsamehe kosa alikonifanyia anafanya lingine tena..sijui ndo dharau au kiburi
 
Maisha yenyewe mafupi. Samehe 7×70.
Ikiwezekana pasha kipolo.
 
Kuna mdogo wangu huwa najiuliza kama ni kweli nimemsamehe au la maana mapenzi niliyokuwa naye kwake yamepukutika kabisa hata nikijitahidi nashindwa
 
Kuna Kaka angu. Kila nikijitahidi kuuliza moyo. Umemsamehe huyu mtu au. Nashindwa kupata majibu.

Ila life goes on....
 
Aliniibia kitu kidogo tu lakini alinisababishia usumbufu mkubwa mno. Of course nilihisi kaiba yeye nakampotezea nikajua labda alikuwa na shida....imepita miaka tumeshakuwa watu wazima kabisa nikamsikia anajitapa kwa watu eti aliniibia makusudi ili anikomoe tu. Yaani amenitoka
Alikukosea nini..!??
 
Huyo si mdogo wako wa kuzaliwa nae bila shaka...

 
Pole sana kwa mafadhaiko uliyokuwa nayo kipindi hicho.... Ila naamini kwa sasa yameisha, kikubwa kinachokusumbua ni kutokusahau hilo tukio...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…