Kuna mtu Powerful kumzidi Kikwete hapa nchini?

Kuna mtu Powerful kumzidi Kikwete hapa nchini?

Powerful kwenye nini?? Acha porojo wewe! Hata mwamposa nadhani kamzidi. ALIMSUMMON YEYE NA BIBI TOZO.
 
Powerful kwenye nini?? Acha porojo wewe! Hata mwamposa nadhani kamzidi. ALIMSUMMON YEYE NA BIBI TOZO.
Kikwete kwenda kwa Mwamposa jambo la kawaida sana tena alienda na kanzu comfotably

Usichojua ni kwamba Kikwete anahudhuria hata sherehe, misiba na mialiko ya watu wa hali za chini.
 
Kwa utawala huu wa kilaza jibu ni hakuna mwingine zaidi yake, ila wakati wa jiwe alijificha zake tu hapo msoga akilima mananasi!
Sasa hv anazurura kutwa kucha ndani na nje ya nchi!.
 
Back
Top Bottom