Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,530
- 14,792
Mtu mwenye nguvu kuliko wote nchi hii ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi.