Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,374
- 161,378
Hata mie nshastukaahahahhh sakayo ujue kashaingia pm anatuzingua tu
Hata mie nshastukaahahahhh sakayo ujue kashaingia pm anatuzingua tu
ndio unaenda kumalizana nae
hahahhhHata mie nshastukaa
Asimtishie tu mtoto wa watundio unaenda kumalizana nae
sakayo umeonadah, mwanaume kutongozwa raha sana!
sometimes me unajikuta unashindwa kuongea tu pale manzi asemapo 'nakupenda'.. teh teh
Hii jinsia ya kike ni hatari.....
Imagine manzi humpendi ila unatamani kula tu kwa kuvumilia hvyo hivyo kisa kajilengesha!
hahahhh asimtishe na niniAsimtishie tu mtoto wa watu
Nimeona, kumbe kutongozwa ni changamoto!!!sakayo umeona
Na maneno ili asimtaje hapahahahhh asimtishe na nini
Au ww mbona unamjibu kwa nyodo hivyoKwahiyo?!.
Well said......I got itKweli mkuu, ila ni Mara tu baada yakuingia shimoni na kujiridhisha kuwa Kuna siafu ndo huwa Nyoka anatoka nduki... KWANZA HUWA ANAINGIA.
hahahhhNimeona, kumbe kutongozwa ni changamoto!!!
Ndo wajue tabu tunayoipata sasa
hahahhh kumtaja hawezi atakua ameshamfata pmNa maneno ili asimtaje hapa
Hehehehahahhh kumtaja hawezi atakua ameshamfata pm
Mm ndio mtu wa kuchukua gari za mkaa?!Au ww mbona unamjibu kwa nyodo hivyo
walingaaaaa eti gari za mikaa embu tema mate chini, usikute mrembo zaidi ya mkeo, luv wako!!Mm ndio mtu wa kuchukua gari za mkaa?!
Hamna mrembo hapo...mzee harembekiwalingaaaaa eti gari za mikaa embu tema mate chini, usikute mrembo zaidi ya mkeo, luv wako!!
Leo umejua kunichekesha we mtoto wa miaka 25, unamuita mzee wakati bado mbichiiiii kabisaaaaaaa we Nokia wwHamna mrembo hapo...mzee harembeki