Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
nahisi asee sio kwa maneno yaleNdo anamshika mkono nini
nahisi asee sio kwa maneno yaleNdo anamshika mkono nini
Mbona jana umenipigia, au ndo waninyima kimtindoNimeflash cm ha ha haaa hem itume upya
anayo fakalava eb njo usikie hapaHehehe
Agiza pacha, si ana namba ya mpesa
Basi sawakwangu mm sitaweza kujibadili najijua na lazima nigundulike
na usibadili tutakukimbiaMii bado sijabali shemeji
huyo atakua msambaa mwenzangu nilivyoona sheShehoza

Wanakumbushwaga na hela, sio maneno makavuNa mkumbusha tu asinipe masharti magumu
hahahhhh anatamani bahati ya Daby angekua yy tatizo na yy anapotea sana humuUmempenda tena, we shemeji bhana ni changamoto
Mkuu habali wewe huna adui bali unamarafiki wema tuYeh, it's me.
Wapo wengi kama wewe wameishia kupiga mbizi nchi kavu bila kujua watachunika uso.
CC: supermarket
Yaani Utafikiri umetaja mzizi, imenichukua dk 5 kujua ni jina la shemejiManga njo pacha anataka redbull![]()
Ngoja niendelee kumpetipeti akubaliakikubali nichukue na mm![]()
Vizurinyu ndo nini sasaNa hisi hata sasa naandika vizurinyu
Ha ha ha haaaaata sijui kama walikua seriasi
uwiiiiiii atakua kajibebishaVizurinyu ndo nini sasa

Mabox yangu nataka ni yaweke hukohivi pm ulikua unataka nn kwani
Abadili tu, ila achague jina lenye mvutona usibadili tutakukimbia
eti sakayo ni wa dar au mkoa au mbeba boxNgoja niendelee kumpetipeti akubali
Hivi kwani yeye ni wa Dar?
