Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
ndio Babu yako ishi nae hivyohivyoYaani, najitahidi nashindwa
ndio Babu yako ishi nae hivyohivyoYaani, najitahidi nashindwa
Una shida basiSio kweli,mimi mbona nawakataaga sana
We cheka tuu
Hapana, kila uzi kuna mchuchu tena si mmojandio Babu yako ishi nae hivyohivyo
nakumbuka alikwambia atawaaacha wote abaki na ww tuHapana, kila uzi kuna mchuchu tena si mmoja
Shida gani,ila sakayo simkataiUna shida basi
Hawezi waacha yulenakumbuka alikwambia atawaaacha wote abaki na ww tu
Mie wenye vitambi hapanaShida gani,ila sakayo simkatai
Mie wenye vitambi hapana


una nyota ya mababuShida gani,ila sakayo simkatai
Mwenzangu, hata sijui nimeitoa wapiuna nyota ya mababu
watoto wapo hivyo je baba yao yupoje![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hao watoto wangu honey

uwe nazo za kutunza sio babu umekula ujana wako huna kitu unakuja kwa sakayoMababu wanatunza historia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahahhh mababu wanataka uwawekee maji ya motoMwenzangu, hata sijui nimeitoa wapi
uwe nazo za kutunza sio babu umekula ujana wako huna kitu unakuja kwa sakayo
watoto wapo hivyo je baba yao yupoje![]()
una nyota ya mababu
Mwenzangu, hata sijui nimeitoa wapi
hahahahhh mababu wanataka uwawekee maji ya moto
Bi mkubwa sema nae tu. Mwambie ili kutua mzigo.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?