Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Walai mtoro ana Haba la peponi hili mzee mwenzanguMahaba ya husna sio ya nchi hii
Walai mtoro ana Haba la peponi hili mzee mwenzanguMahaba ya husna sio ya nchi hii
Ndomana hanitaki uwe makini naeHuyo ndio mwenyekiti
Mdomo umeuliza lakini moyo wako umeshajibumm nimedanganya nn
Ila kwel kuna mmoja alikua anaonea wivu wale nzi wako leo kwa bibie hapo c ndio hatalala kabisa

Shemeji unTumia kinywaji gn?Ha ha ha ha kwahyo wewe unataka ukakichungulie cha nan? Bas husna amekubal kukichungulia tayar utulie
hahaahhhMahaba ya husna sio ya nchi hii
Mbona unalia kipenzi au furaha iliyopitiliza juu ya hili penzi letu zito.
Mimi ni wako ati.



Daby umejua kuua mbavu zangu acha niwaage usiku mwemaKwa kweli acha husna anishikie kwa hiki kipindi kilichobaki katika maisha yangu.
Walai mtoro ana Haba la peponi hili mzee mwenzangu
EtiKiseme mbna husna katoa ya moyon hapa hapa
Na usikubali umejitoa muhanga mwenyewe watulie tu kazi ulofanya ni kubwaLengo lenu tuachane au?![]()
hHahahhh kivuruge kwenye ubora wakoNa usikubali umejitoa muhanga mwenyewe watulie tu kazi ulofanya ni kubwa
AhsanteBasi usimalizie
Uwongo huooo wewe apo ndo ulikua unamlazimisha ukamchungulie nilikwepo
alaaa....kuuumbeee....!!!nilitaka nimuonee huruma nimkubali ila bas sitaki tena aendelee na kutomboka
