Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
- Thread starter
- #5,861
weeh sbbu ushapata mtu wako unachonga chongaNyiee mnapendana ila cjui kwann mnaogopanaa
Na sasa umempata lazima utulieSi mnasemaga sijatulia...
Sikupata wa kunituliza

Hilo ndio jibuhahahaha usiniambie na ww unataka kubebika kama Daby
Umeona ee..?!Kabisa yani
hivi una nn lkn nimekwambia sina baby mmHilo ndio jibu
Mbebishe mwenzio
Heheee heheeeee shutuuu...Sitaki makombo.
Kwa kuninyima etKafanyaj kwani hadi umpe pole?
Itapendeza thaanaaaManga fanya umchukue shua basi uzi uwe wa makapo tu
Hanipendi kabisa huyuNyiee mnapendana ila cjui kwann mnaogopanaa
halafu ushemej ujue unakufaa sana bas tu
Macho yako tuhahahhah kujiosha nn yaan Daby ww inaonekana mtto wa kihuni
Labdaahahhahah popobawa au
Sio vibayaDuh tumejibu wote