hahahahahahh, kipindi ulitangaza unatafuta mchumba ulipata? hahhahahahNitakuwa Mimi..njoo usiogope
hahahahahahh, kipindi ulitangaza unatafuta mchumba ulipata? hahhahahahNitakuwa Mimi..njoo usiogope
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Ahsante lakini naomba tuheshimiane kidogo....hata mimi nakupenda pia ila unajificha sana. Toa nami nikupe it's a way of life.

Natamani kuwa mmHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Rudisha ile avatar yako ya mwanzo mwaya,ilikuwa inakufanya unalook sexy,cute and good!.......you looked so stunning!![]()
![]()
ndio mmi baba

Hii do nzuri.Rudisha ile avatar yako ya mwanzo mwaya,ilikuwa inakufanya unalook sexy,cute and good!.......you looked so stunning!![]()
![]()
Labda kama una hamu ya kujisajili na BPMi nimeanza kukupenda siku hizi.
Wala!Hii do nzuri.
........mimi nataka ile ambayo inaonyesha maziwa/matiti!
Hio ilisharesiti ini pisiWala!........mimi nataka ile ambayo inaonyesha maziwa/matiti!
![]()
Hongera zenu kupendwa na kupenda raha sana.

it beats me; black and blue but it F
@#*##s me so good and i cant get enough

... i loveee this song! Are you also a rihhana fan?Pole mfuate pm utoe dukuduku kama ni real gentleman atakuelewa hata kama hakutaki hawezi kukuanika hadharani ila atakusitiriHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Huyo kama sio mimi atakuwa StunterHabari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Unaitwaje wimboit beats me; black and blue but it F
@#*##s me so good and i cant get enough
... i loveee this song! Are you also a rihhana fan?
Love on the brain,kutoka kwenye album yake ya ANTIUnaitwaje wimbo