Dada utakaukiwa na mayai Bure kumchulia mwanamke mwenzio aliyepewa, tulia kwa na mumeo umpatie conjugal right.Hilo kila mtu analifahamu
Mie sifahamu hataHilo kila mtu analifahamu
Ila mkuu si ndio ulituambia kuanzia tarehe 18 sijui atapoteza mamlaka yote, akitoa amri hazitekelezwi. Imeakuaje sasa tena?Kuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni
Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya
Big no!!
Jf iendee taratibu, unayemwita Dada aweza kuwa Mume wa shangazi yakoDada utakaukiwa na mayai Bure kumchulia mwanamke mwenzio aliyepewa, tulia kwa na mumeo umpatie conjugal right.
Pole sanaMie sifahamu hata
Ku organise mpango mzima wa kwenda kuchukua fomu.Amri gani ametoa ikatekelezwa toka mwezi 7?
Kuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni
Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya
Hatuwezi kuendelea na utekaji tena
Big no!!
Mungu ataamua ugomviKupuliza gesi na ikaweza kujaa sio mchezo alisikika nabii wa Taifa gesiView attachment 3436928
Nani alikwambia na wewe ni mtu?Mie sifahamu hata