Kuna mtu kapata mikopo mara mbili batch1 & batch 2. Hii ni haki kweli

Kuna mtu kapata mikopo mara mbili batch1 & batch 2. Hii ni haki kweli

SIO KWELI HAJAPATA MKOPO MARA MBILI, ILA UMECHANGANYA MAJINA KWA SABABU YAMECHANGANYWA PAMOJA BATCH 1 NA 2, SASA WEWE ULIPOONA YUMO NA BATCH HII YA 2 UKAFKRI KAPATA UPYA ILA SIO HIVYO, NI KAWAIDA MBONA, WOTE WLIOPEWA MKOPO FIRST BATCH MAJINA YAO YAMO KWENYE BATCH YA PILI, KWA SABABU BATCH YA 1 NA YA 2 ZIMEUNGANISHWA PAMOJA, KWA HIYO ALIYEPEWA FIRST BATCH LAZIMA NA HII YA PILI JINA LAKE LIONEKANE, COZ MAJINA YA PILI NI MUUNGNIKO WA BATCH MBILI PAMOJA, UNLESS UNIAMBIE KWENYE HII BATCHYA 2 YUMO JINA LAKE MARA MBILI, KITU AMBACHO HAKIWEZI KUTOKEA HATA SIKU 1, WEWE NA HUYO JAMAA MLISHINDWA KULIJUA HILO
hebu search hli jina "manjuu"kwny ile list utanambia limetokea mara ngapi ww ucpate shida ukishaifungua ile list kutumia adobe search kwa juu pale hlo jna utaona unachobishia
 
Nis
hebu search hli jina "manjuu"kwny ile list utanambia limetokea mara ngapi ww ucpate shida ukishaifungua ile list kutumia adobe search kwa juu pale hlo jna utaona unachobishia
Nisahihishe hapo co "manjuu" ni "jovinary fransisco rwehumbiza" page number328 & 448
 
7abcd23eb1f71e6f4a93178959e395e1.jpg
 
habari!

kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, jamaa batch 1 ilivyo toka jina lake lilikuwemo na hii batch2 ya mkopo jina lake lipo tena. Wakati huohuo kunawengine hawajapata kwenye batch zote mbili. Hii ni haki kweli?

Na inawezekana hili limetokea kwa wengi sio kwa huyu tuu. Kama kuna mwingine mwenye taarifa inayo husiana na hii aje atujuze hapa.
Hio sio kweli,kwa maana majina ya batch ya kwanza ya mkopo yalikuwa 10961.Lakini batch ya pili majina ya lichanganywa na ile batch ya 1 na kuwa majina kama 22000 hivi
 
Hapana Yale majina yameambatanishwa ya kwanza na ya pili yaliyoongezwa sio kwamba Mara mbili Mimi mwenyew nipo kote kote
 
Mkuu huenda kweli, mbona kuna mtu ana three ya 15,,,amepata chuo na mkopo yaaani ana tripo E,,
 
Nipatie link rahisi kupakua hiyo batch 2 mkuu... Tangu jana inazingua, nataka nihakikishe kama last born wetu kabahatika
 
Kama ni hivyo basi Wizara ya Elimu ni janga.. yaani hawana maujuzi kabisaaaaa na teknolojia ilivyo bomba miaka hii.. duh!

Ila pia kama je watu wanamajina sawa.. au umeangalia namba zao ni tofauti?
 
Back
Top Bottom