Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 517
habari!
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, jamaa batch 1 ilivyo toka jina lake lilikuwemo na hii batch2 ya mkopo jina lake lipo tena. Wakati huohuo kunawengine hawajapata kwenye batch zote mbili. Hii ni haki kweli?
Na inawezekana hili limetokea kwa wengi sio kwa huyu tuu. Kama kuna mwingine mwenye taarifa inayo husiana na hii aje atujuze hapa.