kuna mtu kanionea pacha wangu snowball?

hehehehehe...usiwe na hofu my pacha snowhite naweka mambo sawa tu ntaibuka soon...lol ...hao waache waseme tu!
Kuna vijimambo vimenibana tu mwaya..na imetokea bahati tu ile kuibuka nakutana na kigongo hiki..loset!

poa poa my pacha fanya mambo si unajua baba alikuachia mji mama anakutegemea na mashangazi ndo wanakua,wifi mwenyewe kifaa sasa unafikiri bila kuchopchop matumizi hali si itakuwa tete!mie huku kwa shem wako nipo salama wajomba zako wako poa!sasa hapa roho yangu imetulia!:A S-coffee:
 
afadhali pacha wake mlongo wangu umerudi, maana pacha wako snowhite alishapata presha. wifi hajambo? kaloweka nguo zote huwezi kutoka? lol!

Dada mkubwa FP nimerudi bana baada ya kuona my pacha anahangaika sana kunitafuta manake mawasiliano nayo nimezima...lol! Nguo hazijalowekwa bana..hii ilikuwa replica ya mabwepande !
 
Last edited by a moderator:
poa poa my pacha fanya mambo si unajua baba alikuachia mji mama anakutegemea na mashangazi ndo wanakua,wifi mwenyewe kifaa sasa unafikiri bila kuchopchop matumizi hali si itakuwa tete!mie huku kwa shem wako nipo salama wajomba zako wako poa!sasa hapa roho yangu imetulia!:A S-coffee:

Pacha snowhite nishikie tu mji bana kwa utu tusiku tuchache..usichoke.. mboni kakaako nikirudi utafurahi!!... lara 1 atanitamanije??si unamjua mzee wa midolari.. Halafu si umewaona hawa walionizushia walivobaki wadogo kama nusu priton!:juggle:
 
mie na we si kama uji na mgonjwa!wala usijali mama nitamhudumia vizuri na mashangazi nao nitarekebisha tu bila wasiwasi,wifi nitahakikisha hachuji utamkuta anameremeta kwa matumizi ya twin brother wangu(lol) lara 1 ana mwiko alioapa kutouvunja milele waliokwisha kuwa taken toka ile ishu ya @macxene melo kumcost kiasi cha mazombie yake kuanza kutaka kujinasua amesema wala hawataki tena aina hiyo ila tu ana mission on track hiyo kuhusiana na The Boss hapa amesema no stone will left unturned ila for the time being anakomaa na kina MKATA KIU kwanza !
 
Last edited by a moderator:
Sijatoa siri zake na siwezi kutoa siri zake nilicho sema ana case na jaribu kuipitia na sijasema ina husiana na nini! Naomba umuulize kama hana case!

shem kwanza nataka kukuhoji kuhusiaana na kesi ya my pacha!inakuwaje uliamua kumtolea siri zake wazi wazi hiv?sasa amekam free like a molecule mbona utajibeba!
 
Sijatoa siri zake na siwezi kutoa siri zake nilicho sema ana casee na jaribu kuipitia na sijasema ina husiana na nini! Naomba umuulize kama hana case!

mimi bana nimeshaongea na my pacha na kaniachia majukumu tayari,na tayari anajianda kwenda zake:canada:sasa miongoni mwa majukumu aliyoniachia hili la kukulipa wewe fee ya uwakili si mojawapo!kwa hiyo for the record my pacha wangu SnowBall hana kesi!
 
Last edited by a moderator:
The Boss kazi anayo kwa lara 1...lol
Nashukuru kama mie simo kwenye target zako...by the way wifi yako sakapal umemuonaje??..hajaanza kubwabwaja?
Si unajua ndoa uvumilivu..na kizazi hiki uvumilivu naona ka'umewapitia kushoto!
mie na we si kama uji na mgonjwa!wala usijali mama nitamhudumia vizuri na mashangazi nao nitarekebisha tu bila wasiwasi,wifi nitahakikisha hachuji utamkuta anameremeta kwa matumizi ya twin brother wangu(lol) lara 1 ana mwiko alioapa kutouvunja milele waliokwisha kuwa taken toka ile ishu ya @macxene melo kumcost kiasi cha mazombie yake kuanza kutaka kujinasua amesema wala hawataki tena aina hiyo ila tu ana mission on track hiyo kuhusiana na The Boss hapa amesema no stone will left unturned ila for the time being anakomaa na kina MKATA KIU kwanza !
 
Last edited by a moderator:
The Boss kazi anayo kwa lara 1...lol
Nashukuru kama mie simo kwenye target zake...by the way wifi yako sakapal umemuonaje??..hajaanza kubwabwaja?
Si unajua ndoa uvumilivu..na kizazi hiki uvumilivu naona ka'umewapitia kushoto!

ah wanawezana wenyewe!wala hakuna anayemzidi mwenzie kete!wote watoto wa mujini basi mi nabaki tu kuangalia tu mwisho wa siku nani atakom ako winner!
kwa kweli my wee wangu sakapal hana tatizo sijasikia kina anties wanalalamika wala nini!kwa hiyo uwe rest assured huku home mambo shwari!
we komaa tu huko !ila nitahakikisha wifi hapati vijisafari safari vya usiku hasa vikao vya harusi!
 
Last edited by a moderator:
mimi bana nimeshaongea na my pacha na kaniachia majukumu tayari,na tayari anajianda kwenda zake:canada:sasa miongoni mwa majukumu aliyoniachia hili la kukulipa wewe fee ya uwakili si mojawapo!kwa hiyo for the record my pacha wangu SnowBall hana kesi!

Sijatoa siri zake na siwezi kutoa siri zake nilicho sema ana case na jaribu kuipitia na sijasema ina husiana na nini! Naomba umuulize kama hana case!

Huyu Ruttashobolwa asikutishe bana pacha wangu snowhite ...kwanza case yenyewe haina kichwa wala miguu..
Walijua niko mwenyewe sasa wameona jeshi la kina snowhite na FP wamekuwa wadogo..lol! Watapambana lakini hawatashinda...
 
Last edited by a moderator:
dah, bora kapatikana. make nlikuwa nataka kukwambia snowhite hebu check na polisi jamii wasijekuwa wamembaro!
 
mwenzangu mi mwenyewe nimefurahijeeee!pacha wangu yupo salama kabisa!na we unaendeleaje na kina kijacho wako C6 anakukanda kanda miguu lakini?
 
Last edited by a moderator:
Kuwa wengi si tatizo mnaweza kuwa mia lakini mkashindwa kupambana na vifungu!
Mimi sipambani nawe bali sheria ndio ina pambana na wewe na mwisho wa siku uta nyanyua mikono!

Ebu sema ni case gani isiyo na miguu ebu jaribu kuueleza umma hiyo case ambaye haina miguu!

Na record inaonesha watu wengi wana kuwa jailed kwa case wanazo dhani hazina kichwa wala miguu!

Huyu Ruttashobolwa asikutishe bana pacha wangu snowhite ...kwanza case yenyewe haina kichwa wala miguu..
Walijua niko mwenyewe sasa wameona jeshi la kina snowhite na FP wamekuwa wadogo..lol! Watapambana lakini hawatashinda...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom