GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,649
Reaction score
6,411
Wakuu mpo wazima hapa.

Leo nimewaza tu.

1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania

2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake.

3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya chama akaamua kutokemea wenzake wakiumizwa. Sio mbaya kufa kufaana. Ila karma ipo.

4. Kuna mtu anavunja katiba na sheria za nchi hapa nadhani rule of law haipo kabisa Tanzania.

5. Kuna mtu anajiita msajili wa vyama vya siasa nchini kweli. Hivi ni msajili wa vyama au msajili wa mafisiemu..?

6. Kuna mtu anajiita mzalendo 🤣🤣🤣🤣 eti tuwe wazalendo (kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake)

7. Kuna watu wanajiita watu wa ulinzi na usalama wa nchi kumbe ni chawa wa fisiemu.

8. Kuna mtu ni shetani ila anajipendekeza kwa watumishi njaa wa kkkt

9. Kuna mtu anataka kuifanya nchi kama urithi wa familia yake.

10. Kuna watu ni wapinzani ila wamepigwa pin na msajili na mahakama. Mpaka sasa fanyeni muwezalo sheria hazipo wamezivunja wao hamna kosa. Amkeni

11. Nakumbusha tu kila baya litashindwa kutaka kurekebisha katiba kwa sasa ya chama chao cha majizi tena kwa njia ya mtandao haitafanikiwa.
 
Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.

Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.

Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.

Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.

Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
 
Nikuulize kitu. Awamu ya samia imeanza..? Alikua anahitimisha awamu ya 5 ambayo yeye alikua makamu wa raisi. Ni lini tulimpigia samia kura za kuwa raisi yeye kama yeye na mgombea wake wa sasa. Tumia fikra zako kuchanganua hili jambo. Kama anataka kugombea basi chama chao wafuate taratibu zilizowekwa na wao wenyewe. Ja sio kulazimisha. 🤣🤣🤣🤣 amehitimisha miaka 10 ya utawala wa awamu ya 5 hivyo unataka usemeje tena..?
Kwa maana ingekua kachaguliwa na chama chake akawa mgombea na akaongoza miaka mitano kwenye awamu ya 2 ndani yake hata sumbuliwa na chama chake. Mgombea huyu hakika ni haramu.
 
Awamu ya Samia ilianza tarehe 19 March 2021 siku alipoapishwa ndani ya ikulu, awamu ya tano ilimalizika sio kwa mapenzi yetu sisi wananchi bali kwa mapenzi ya Mungu alipoamua kumchukua hayati JPM.

Awamu ya Samia ilianza pale alipomaliza kula kiapo kisha akaenda kukagua gwaride akiwa na nafasi ya amiri jeshi mkuu.

Ulipompigia kura JPM moja kwa moja ulimpigia mgombea mwenza wake SSH, hili wengi wetu hatulijui pengine ni kwa bahati mbaya au kwa sababu ya kuongozwa na chuki.

Leo Samia ikitokea akaaga dunia Dr Isidory Mpango ataapishwa na kuwa rais wetu wa awamu ya saba, hii awamu ya sita itakuwa imeondoka na Samia kama ile ya tano ilivyoondoka na JPM.

Kahitimisha miaka mitano akiwa makamu ya rais, wakati anaanza kuutumikia umakamu kwa kipindi cha pili cha miaka mitano bosi wake JPM akaaga dunia na yeye akairithi nafasi yake kwa kula kiapo na kukagua gwaride akiwa na sifa ya Commander In Chief.

Hahitaji kuchaguliwa moja kwa moja na chama chake. siku ulipomchagua hayati JPM ulimchagua na yeye pia ndio maana ya running mate.

Chuki zikipungua moyoni mwako utaelewa tu nini kinachoendelea nchini mwako.
 
Hivi waliachiwa bila kufuata utaratibu?
 
Wakuu mpo wazima hapa.
Leo nimewaza tu.
1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake.
3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya chama akaamua kutokemea wenzake wakiumizwa. Sio mbaya kufa kufaana. Ila karma ipo.
4. Kuna mtu anavunja katiba na sheria za nchi hapa nadhani rule of law haipo kabisa Tanzania.
5. Kuna mtu anajiita msajili wa vyama vya siasa nchini kweli. Hivi ni msajili wa vyama au msajili wa mafisiemu..?
6. Kuna mtu anajiita mzalendo 🤣🤣🤣🤣 eti tuwe wazalendo (kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake)
7. Kuna watu wanajiita watu wa ulinzi na usalama wa nchi kumbe ni chawa wa fisiemu.
8. Kuna mtu ni shetani ila ana jipendekeza kwa watumishi njaa ja kkkt
9. Kuna mtu anataka kuifanya nchi kama urithi wa familia yake.
10. Kuna watu ni wapinzani ila wamepiga pin na msajili na mahakama. Mpaka sasa fanyeni muwezalo sheria hazipo wamezivunja wao hamna kosa. Amkeni

Kabla ya mwaka huu kuisha utakuwa umeshaanza kuokota makopo
 
Hivi waliachiwa bila kufuata utaratibu?
Utaratibu ni kwamba rais anayeutaka urais kwa mara ya kwanza ni lazima agombee na wagombea wengine, anapotaka kuanza urais wanamchukulia fomu kutimiza hitaji la kidemokrasia ndani ya CCM.

Miaka ile ya Nyerere hapakuwa na demokrasia, alisimama yeye na upande mwingine karatasi ilionyesha kivuli yaani hakuwa na upinzani, mtake msitake yeye ndio rais na kupigiwa kura ilikuwa ni kutimiza tu wajibu wa jumla jumla.

Vilipoanza vyama vingi wakaweka utaratibu kwamba miaka mitano ya urais ni lazima apingwe na wagombea wengineo na ukifika mwaka wa tano unapofanyika uchaguzi mgombea asipingwe bali huko kwenye chaguzi za wabunge na madiwani ni lazima wachukuliane fomu.

Samia hakupigiwa kura kwa sababu yeye alikuwa sehemu ya JPM mwaka 2020, alipofariki dunia ikabidi aapishwe kwa maana ni mgombea mwenzake.

Mwaka huu ndani ya CCM hakuna haja ya kumshindanisha na mwingine yoyote kwa sababu ya utaratibu ule ule uliotumika miaka ya marais waliomtangulia wakati wanamaliza ngwe ya kwanza wanaenda ya pili.

SSH ana bahati ya mtende, ya kuzaliwa.
 
Nikuulize kitu. Awamu ya samia imeanza..? Alikua anahitimisha awamu ya 5 ambayo yeye alikua makamu wa raisi. Ni lini tulimpigia samia kura za kuwa raisi yeye kama yeye na mgombea wake wa sasa. Tumia fikra zako kuchanganua hili jambo. Kama anataka kugombea basi chama chao wafuate taratibu zilizowekwa na wao wenyewe. Ja sio kulazimisha. 🤣🤣🤣🤣 amehitimisha miaka 10 ya utawala wa awamu ya 5 hivyo unataka usemeje tena..?
Kwa maana ingekua kachaguliwa na chama chake akawa mgombea na akaongoza miaka mitano kwenye awamu ya 2 ndani yake hata sumbuliwa na chama chake. Mgombea huyu hakika ni haramu.
You useless sperm Samia ameshapitishwa na chama chake kuwa mgombea wao kwa kupigiwa kura na mkutano mkuu na kupata kura 99.8%, sasa takataka km ww ni nani. Tuliza makalio kutuletea huu uharo. Nenda kaharishe huu uvundo. We kibwengo tu.
 
Wakuu mpo wazima hapa.
Leo nimewaza tu.
1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake.
3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya chama akaamua kutokemea wenzake wakiumizwa. Sio mbaya kufa kufaana. Ila karma ipo.
4. Kuna mtu anavunja katiba na sheria za nchi hapa nadhani rule of law haipo kabisa Tanzania.
5. Kuna mtu anajiita msajili wa vyama vya siasa nchini kweli. Hivi ni msajili wa vyama au msajili wa mafisiemu..?
6. Kuna mtu anajiita mzalendo 🤣🤣🤣🤣 eti tuwe wazalendo (kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake)
7. Kuna watu wanajiita watu wa ulinzi na usalama wa nchi kumbe ni chawa wa fisiemu.
8. Kuna mtu ni shetani ila ana jipendekeza kwa watumishi njaa ja kkkt
9. Kuna mtu anataka kuifanya nchi kama urithi wa familia yake.
10. Kuna watu ni wapinzani ila wamepiga pin na msajili na mahakama. Mpaka sasa fanyeni muwezalo sheria hazipo wamezivunja wao hamna kosa. Amkeni
11. Nakumbusha tu kila baya litashindwa kutaka kurekebisha katiba kwa sasa ya chama chao cha majizi tena kwa njia ya mtandao haitafanikiwa.
Stinking rubbish!
 
Utaratibu ni kwamba rais anayeutaka urais kwa mara ya kwanza ni lazima agombee na wagombea wengine, anapotaka kuanza urais wanamchukulia fomu kutimiza hitaji la kidemokrasia ndani ya CCM.

Miaka ile ya Nyerere hapakuwa na demokrasia, alisimama yeye na upande mwingine karatasi ilionyesha kivuli yaani hakuwa na upinzani, mtake msitake yeye ndio rais na kupigiwa kura ilikuwa ni kutimiza tu wajibu wa jumla jumla.

Vilipoanza vyama vingi wakaweka utaratibu kwamba miaka mitano ya urais ni lazima apingwe na wagombea wengineo na ukifika mwaka wa tano unapofanyika uchaguzi mgombea asipingwe bali huko kwenye chaguzi za wabunge na madiwani ni lazima wachukuliane fomu.

Samia hakupigiwa kura kwa sababu yeye alikuwa sehemu ya JPM mwaka 2020, alipofariki dunia ikabidi aapishwe kwa maana ni mgombea mwenzake.

Mwaka huu ndani ya CCM hakuna haja ya kumshindanisha na mwingine yoyote kwa sababu ya utaratibu ule ule uliotumika miaka ya marais waliomtangulia wakati wanamaliza ngwe ya kwanza wanaenda ya pili.

SSH ana bahati ya mtende, ya kuzaliwa.
Paragraph ya 1 ,ndo utaratibu

Sa Kwann paragraph ya mwisho hutaki huo utaratibu ufuatwe?
No way ,mi sio ccm lkn hapana
 
Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.

Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.

Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.

Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.

Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Nani anampinga? Hii misukule ya humu mitandaoni? Haya ni mabwege tu, Samia ameshapitishwa.
 
Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.

Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.

Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.

Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.

Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.
Njaakaya haonewi! Yeye ndio anayempangia mama nini cha kufanya kwa ajili ya maslahi yao.
 
Kauli ya jumla jumla ambayo haiwezi kusemwa mahakamani, ushahidi hatuna tunaishia kujichumia dhambi kwa kumsingizia mzee wa Msoga.

Samia pia anao uwezo mkubwa ambao hautazamwi kwa sababu ya jinsia yake na eneo analotoka, she is a good president.
 
A
Awamu ya Samia ilianza tarehe 19 March 2021 siku alipoapishwa ndani ya ikulu, awamu ya tano ilimalizika sio kwa mapenzi yetu sisi wananchi bali kwa mapenzi ya Mungu alipoamua kumchukua hayati JPM.

Awamu ya Samia ilianza pale alipomaliza kula kiapo kisha akaenda kukagua gwaride akiwa na nafasi ya amiri jeshi mkuu.

Ulipompigia kura JPM moja kwa moja ulimpigia mgombea mwenza wake SSH, hili wengi wetu hatulijui pengine ni kwa bahati mbaya au kwa sababu ya kuongozwa na chuki.

Leo Samia ikitokea akaaga dunia Dr Isidory Mpango ataapishwa na kuwa rais wetu wa awamu ya saba, hii awamu ya sita itakuwa imeondoka na Samia kama ile ya tano ilivyoondoka na JPM.

Kahitimisha miaka mitano akiwa makamu ya rais, wakati anaanza kuutumikia umakamu kwa kipindi cha pili cha miaka mitano bosi wake JPM akaaga dunia na yeye akairithi nafasi yake kwa kula kiapo na kukagua gwaride akiwa na sifa ya Commander In Chief.

Hahitaji kuchaguliwa moja kwa moja na chama chake. siku ulipomchagua hayati JPM ulimchagua na yeye pia ndio maana ya running mate.

Chuki zikipungua moyoni mwako utaelewa tu nini kinachoendelea nchini mwako.
Awamu ya Urais ni independent, haiendi na mtu, ila Rais wa (#6, awamu ya TANO inawezekana), awamu inaenda na Maandalizi ya ilani za Chama kwa awamu 1 yenye miaka 10 ikiwa na mihula 2.

Tusipotoshe jamii kwa uelewe potofu wa mtu mmoja hata kama ni mkubwa!
 
Wewe ndiye unayepotosha, jitahidi ufahamu kwa kina maana ya kiapo cha rais.
 
Wakati mwingine Kikwete tunamuonea. Samia hastahili kupingwa kwenye nafasi ya urais kwa namna yoyote ile kwa nafasi ya mgombea urais.

Waliomtangulia hawakupingwa waliachiwa wamalize ngwe zao zilizobakia kwanini iwe kwake?.

Alikuwa makamu na bosi akaaga dunia, hayo sio makosa yake hata kidogo. Kwa yeye kuwa makamu tayari ni msaidizi wa karibu wa hayati JPM.

Lakini alikula kiapo hivyo sifa zote nzuri na mbaya alizokuwa nazo miaka ya nyuma zikafa kifo cha kawaida akaibeba nafasi ya urais wa JMT.

Kuna wale wanaosema alikuwa rais mwenza wa JPM, hakuna kitu kama hicho na ni aibu kwa mtu aliyehitimu sheria kuandika vitu vya kijinga kiasi hicho.

Hata kama uwezo wake ni kuendelea kuwa Makamu? Just thinking outside the box.

Kama kila mtu angeweza kujipima ili kuamua, haya yote yasingekuwepo
 
Utaratibu ni kwamba rais anayeutaka urais kwa mara ya kwanza ni lazima agombee na wagombea wengine, anapotaka kuanza urais wanamchukulia fomu kutimiza hitaji la kidemokrasia ndani ya CCM.

Miaka ile ya Nyerere hapakuwa na demokrasia, alisimama yeye na upande mwingine karatasi ilionyesha kivuli yaani hakuwa na upinzani, mtake msitake yeye ndio rais na kupigiwa kura ilikuwa ni kutimiza tu wajibu wa jumla jumla.

Vilipoanza vyama vingi wakaweka utaratibu kwamba miaka mitano ya urais ni lazima apingwe na wagombea wengineo na ukifika mwaka wa tano unapofanyika uchaguzi mgombea asipingwe bali huko kwenye chaguzi za wabunge na madiwani ni lazima wachukuliane fomu.

Samia hakupigiwa kura kwa sababu yeye alikuwa sehemu ya JPM mwaka 2020, alipofariki dunia ikabidi aapishwe kwa maana ni mgombea mwenzake.

Mwaka huu ndani ya CCM hakuna haja ya kumshindanisha na mwingine yoyote kwa sababu ya utaratibu ule ule uliotumika miaka ya marais waliomtangulia wakati wanamaliza ngwe ya kwanza wanaenda ya pili.

SSH ana bahati ya mtende, ya kuzaliwa.
Chukua buku saba yako ametumwa toka rumumba baada kukosekana online maana mkutano wamevuruguana
IMG_1965.jpeg
 
Back
Top Bottom