Ideology ni maono, beliefs, principles, ideas za mtu (au kikundi) anazotamani jamii iliyopo au anayoiongoza izifanyie kazi ili kufikia malengo anayotarajia.
Nimebahatika kuishi katika vipindi vyote vya marais watano.
Naweza kusema ideology ya Nyerere ilikuwa Ujamaa na kujitegemea 'Socialism' kupitia sera yake ya 'self-reliance'.
Mzee Mwinyi yeye alikuwa na Ideology ya 'biashara huria' akajulikana kama 'Mzee rukhsa'.
Mkapa yeye aliamini kwenye ubinafsishaji 'privatization' na ndio ilikuwa ideology yake.
Rais Kikwete ingawa alipinga sera za uchumi za Nyerere lakini mwenyewe hakuwa na clear ideology iliyomwongoza kwenye utawala wake, ni kama aliendelea na ideology ya Mkapa.
Leo Tanzania ipo kwenye awamu ya tano ya utawala chini ya rais John Pombe Magufuli aliyekuja na kauli mbiu ya [HASHTAG]#Hapakazi[/HASHTAG] tu.
Kuna yeyote anayejua ideology yake, kwamba anaamini kitu gani Watanzania tunatakiwa tukifanye ili kututoa hapa tulipo.
Karibu kwa mjadala.