kuna mtu anaweza kufanya hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna mtu anaweza kufanya hivi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tan 90, Aug 26, 2012.

 1. t

  tan 90 Senior Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  habari wana jf. . . .kuna mtu ameniomba ushauri katika jambo hili,sasa nashndwa kumshauri kwa sababu sijawah kumuona mtu akifanya. . .ni kwamba huyu mtu anataka kusoma degree na diploma kwa wakati mmoja,na mambo yenyewe ni tofauti ambapo degree ni ya information system(udom) na diploma ni ya geology and mineral exploration(chuo cha madini) tena ktk institution tofauti mkoani dodoma. . . . .
  Naomba maoni yako tafadhali,asante.
   
 2. m

  mazegenuka Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie amevurugwa
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  kama timetable haziingiliani anaweza
   
 4. t

  tan 90 Senior Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kivipi mkuu? Funguka
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyo mtu ni wewe,unaweza kufanya hivyo kwanza kutegemeana na uwezo wako wa akili,pili ratiba za hivyo vyuo kutokuingiliana.Jitathimini uamue maana kozi zote zimeshiba.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  hiyo ndio raha ya kuvuta bange huku ukiwa unakata gogo
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Inawezekana sana tu but ratiba inapaswa kuwa tofauti. Mara nyingi program moja anapaswa kuisoma day (full time) na ile nyingine aisome jioni (evening program) ndo ataweza, ni lazima awe kichwa kweli kweli kwasababu miruzi mingi humpoteza mbwa!!!!
   
 8. t

  tan 90 Senior Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hapana si mimi mkuu,ni mdogo ake rafiki yangu.
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Inawezekana, ila kwa nini asiamue kusoma kozi moja?
  Dah! tabu zote hizi ni kutokana na ugumu wa ajira ktk nchi yetu...watu wanasoma ili waajiriwe
   
 10. t

  tan 90 Senior Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ndo hvyo mkuu.
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu unataka kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja mi nawasiwasi unaweza ukawakosa wote

  ngoja niendelee kupata mbege
   
 12. Boniphace17

  Boniphace17 Senior Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ishu iko pale pepa zitakapo-coride!!
   
 13. a

  axel fowly Senior Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh..hii kali
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  "collide"
   
 15. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Audhubilah minashaytwan rajjim!
   
 16. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inawezekana ila atataabika vibaya mno, hasa pale mitihani itakapoingiliana. Ushauri, kama ni wa mwaka wa kwanza aombe asome Geology hapo hapo UDOM ipo.
   
 17. t

  tan 90 Senior Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  halafu aache diploma au impe urahsi wa kutimiza plan yake ya kufanya dgree na diploma at the same time?
   
 18. steveslove

  steveslove Senior Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KUNA MTU NLISOMA NAE IFM yeye alikua anasoma ful tym Ifm na evening class TIA COZ 2 TOFAUTI PROCUREMENT NA ACCOUNTANCY so inawezekana kabisa
   
 19. steveslove

  steveslove Senior Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tena zote degree
   
 20. t

  tan 90 Senior Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  udom ina evening classes? Then utafanyaje ili uweze kusoma evening classes ikiwa si mfanyakazi?
   
Loading...